



_MG_8205 (1) - Copy
_MG_8302
WhatsApp Image 2025-11-25 at 15.06.45_a7f5d721
_MG_9914.jpgN
IJA WORKER'S SACCOS LTD
Gives and issue loans to her Members in affordable interest rate in order to fulfill their financial needs..
Habari-Latest News & Updates.
KIPINDI MAALUM – IJUE IJA WORKER’S SACCOS LTD
KIPINDI MAALUM – IJUE IJA WORKER’S SACCOS LTD TAREHE 27/2/2025 KUANZIA SAA 11:30 JIONI HADI
IJA WORKERS SACCOS LTD (IJAWOSA LTD)
There are many variations of but the majority have simply free text available not suffered.
Trusted by 150 Members
KARIBU IJA WORKERS SACCOS LTD (IJAWOSA LTD)
- Kukuza Chama kutoka Daraja A kwenda Daraja B kwa kuongeza idadi ya wanachama kutoka 70 waliopo sasa hadi 150 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 na kukuza mtaji kwa kuwa na miradi mbalimbali ya maendeleo kwa chama na mwanachama mmoja mmoja ili kutekeleza jambo hili tayari Chama kimesaini Fungamano la Ushirikiano kati ya IJAWOSA LTD na Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto (MoU) ili kutanua wigo wa kupata wanachama wapya na kukuza mtaji.Sehemu ya mafanikio ni kama ifuatavyo:-
- Kulipa riba juu ya akiba kwa asilimia 3% kila mwaka
- Kuwa na huduma nafuu na bora kwa wanachama wake
- Kulipa Gawio kwa wanachama wake pale inapotokea faida
- Kutoa mikopo kwa haraka ndani ya masaa yasiyozidi 24.
Our testimonials/Shuhuda
What they’re talking about IJA WORKER'S SACCOS LTD
Kabla ya kujiunga na SACCOS, ilikuwa vigumu kupata mtaji wa kuendeleza biashara yangu. Lakini sasa, ninaweza kupata mikopo kwa urahisi na riba nafuu. SACCOS ni msaada mkubwa kwa wajasiriamali kama mimi."
Hashimu Salimu
MWANACHAMA
IJAWOSA "SACCOS imetufungulia fursa nyingi. Kupitia mikopo yao, nimeweza kuanzisha biashara yangu ndogo na sasa inakua. Nawashukuru sana kwa kutuamini na kutuunga mkono."
Doris Ngoma
MWANACHAMA
"Tangu nijiunge na SACCOS, maisha yangu yamebadilika sana. Nimeweza kuweka akiba kwa ajili ya elimu ya watoto wangu na pia nimepata mkopo na kufanya mambo ya maendeleo"
Aminiel Reweta
MWANACHAMA
IJAWOSA = CHAMA CHANGU MTAJI WANGU
................Kwanini utachague sisi/Why Choose Us?..................
DIRA YA IJAWOSA
ni kuwa SACCOIS bora yenye kuinua uchumi kwa Wanachama wake.
DHIMA YA CHAMA ni
kuwa SACCOS inayojitegemea na kutoa huduma stahiki kwa tija na ufanisi. na MAONO YA CHAMA
ni kuwa SACCOS inayojitegemea na kutoa huduma stahiki kwa tija na ufanisi.
IJA Worker's Saccos Limited.
Chama Changu Mtaji Wangu
- MIKOPO YA AINA MBALIMBALI
- Mikopo ya Maendeleo - miaka 2 had 5 riba 11%
- Mikopo ya Dharura- mwaka 1 riba 10%
- Mikopo ya Elimu - mwaka 1 riba 5%
- Mikopo ya Chap Chap/Safari - miezi 3 riba 10%