KIPINDI MAALUM – IJUE IJA WORKER’S SACCOS LTD TAREHE 27/2/2025 KUANZIA SAA 11:30 JIONI HADI 12:00 JIONI – UTUME RADIO 97.3FM.
Usikose kufuatilia kipindi Maalum cha Ijue IJAWOSA LTD siku ya Jumatano tarehe 19/2/2025 kuanzia saa 11:30 hadi 12:00 JIONI katika Radio Utume 97:3 FM. Pia kitakuwa na mwendelezo tarehe 26/2/2025 na mwisho 5/3/2025. Hii sio yakukosa, uonapo tangazo hili mfahamishe na mwingine. Kwa pamoja tukikuze Chama chetu.