• NAMNA YA KUJIUNGA NA IJAWOSA.

i .Tuma maombi ya  barua ya kujiunga na Chama kwa Mwenyekiti IJAWOSA ama jaza fomu ya kujiunga;

ii.Kulipa kiingilio shilingi elfu kumi tu (10,000/=);

iii.Barua kwa muajiri kwajili ya michango ya Akiba ya kila mwezi.

MWANACHAMA KAMILI WA IJAWOSA

  • Awe Mtumishi wa Serikali;
  • Awe na uwezo wa kuweka Akiba Tshs.50,000/=au zaidi kila mwezi kutoka katika Mshahara wake
  • Awe anamiliki Hisa kumi (10) ambayo kila Hisa inathamani yay a Tshs.50,000/sawa na jumla ya Tshs.500,000/
  • Awe amejaza fomu ya kujiunga kwa usahihi na makato yake kuthibitishwa na Afisa utumishi ama Mwajir wake.
  • Siku tisini baada ya kujiunga rasmi,atakuwa na uwezo wakuomba Mikopo.