IJA WORKERS SACCOS LTD (IJAWOSA LTD) ni Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo. kilianzishwa mwaka 2010 na Wafanyakazi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA-LUSHOTO). Chama kilisajiliwa mwaka 2010 na kupewa Hati Namba.TAR 526 na kupata Leseni Daraja A kwa mujibu wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 mwaka 2021. Mwaka 2022 Wanachama kupitia Mkutano Mkuu wa kawaida walifungua fungamano la Pamoja na kuwa *WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA, MATAWI YAKE AU WAJIRIWA WA SERIKALI KATIKA WILAYA YA LUSHOTO PAMOJA NA WAAJIRIWA WA IJA WORKERS SACCOS LIMITED* ext Here

Start Your Education Career with Zilom